Wanaozifahamu Bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biasharašŸ™

Wanaozifahamu Bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biasharašŸ™

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
209
Reaction score
368
Habarini wakuu!
Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr Everything Tsh 170k, many Tech ppl Tsh 120K+........... Anaejua zakina kiredio, stivu, etc........ aweke wazišŸ™
 
Kwann ww mkuu usiwe na account Yako na kupambania ikue nawe upige helaaa..
 
Back
Top Bottom