Wanaozifahamu bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biashara ?🙏

Wanaozifahamu bei za kuwalipa ma tiktoker kukutangazia biashara ?🙏

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
209
Reaction score
368
Habarini wakuu!
Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr Everything Tsh 170k, many Tech ppl Tsh 120K+........... Anaejua zakina kiredio, stivu, etc........ aweke wazi🙏
 
Back
Top Bottom