Wanaozuia uchaguzi wa klabu ya Yanga watajwa

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Singo ametaja majina nane ya wanachama ya Yanga wanaodaiwa kuwakwamisha uchaguzi wa Yanga.

Singo alisema Waziri Dk Harrison Mwakyembe tayari ameyapata majina nane ya wanachama wa Yanga ambao wanafanya vikao vya kimya kimya ili kukwamisha uchaguzi huo.

Singo alitaja majina hayo kuwa ni Mustapha Mohammed, Edwin Kaisi, Said Bakari, Shaban Omary, Kitwana Kondo, Boazi Ikupilika, Bakiri Makere na David Sanare.

"Waziri ameweka majina hayo nane hadharani kuwa hao wanakwamisha uchaguzi ambao umepangwa kufanyika Januari 13," alidai.

"Waziri umeyachukua majina hayo na kuyapeleka katika vyombo husika vya serikali na kama watabainika ni kweli hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.

"Waziri alisema hao ambao wanataka kukwamisha uchaguzi ni wale ambao wanapinga ujiudhuru kwa Yusuph Manji na kuna faida ambayo wanaipata kutoka kwa Yanga," alisema Singo.

"Waziri kasema watu hao wakibainika ni kweli wanafanya hivyo hatua kali zitachukuliwa dhidi yao," alisema Singo.
 
Waziri Dr Mwakyembe anajitahidi kuona kile alichokisema kuwa " Manji " hawezi ikaichezea Serikali na hasa yeye akiwa Waziri kinatimia. Tatizo ni Manji na hilo Yanga wanatakiwa waliekewe. Serikali haiko na Waziri hawapo tayari kuona Manji anarudi Yanga.
Ingekuwa ni busara kumuomba Manji atamke publicly kuwa hagombei na anafuta barua aliyoipeleka kwa Baraza la Wadhamini la Yanga ndipo sintofahamu hii ingekwisha. Yanga kama tasisi huru inaona kuna uonevu unaotendeka kwa kuingiliwa kwenye masuala ambayo S
Mbona Kuna nguvu kubwa inatumika Kwenye huu uchaguzi!
Yaani km vile uchaguzi wa jimbo la ubunge
Waziri ni Mwanasheria lakini hajui mipaka yake ya Utendaji. Anataka sifa kwa " non issues"
 
Juzi si Waziri na viongozi wa muda waliitishaha press conference na kusema mambo yako poa.....mwakyembe unatuszingua sasa na Yanga yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…