ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Habari wadau,
Hizi zama zimebadilika sana, huwezi kuona mtu wa hali ya chini akawa afisa maendeleo kata, ama huwezi kukuta mtu akimegewa mkate ulionona ilihali na yeye amezama akabukua na kutoa matirio mazuri ila sasa kwenye mgawanyo hukosa hata soko lake.
Je, kuna ulinganifu hapo jamani ndo maana nasema nyakati hizi zimebadilika tofauti na zile za nyuma ambazo mbweha naye aliweza kula sahani moja na simba. Sasa nini kimelipata jiji hili letu ambalo wengi wanalipenda mno.
Mimi nadhani turudi zama za kale ambazo wote tuliweza kuumega mkate na kushiriki pamoja, tukawa tukidumu kwenye upendo na kupeana bila kuangalia huyu ni nani na yule ni nani?
Kama jua limewaka liwake kotekote sio mahali pakavu hata pale pabichi pia. Aksanteni.
Wasalaam
LADYF
NIMERUDI KIVINGINE WADAU