M MONTESQUIEU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 847 Reaction score 80 Jan 11, 2011 #1 Hivi hawa mgambo wa city wakichukua vitu vya wamachinga vinaishia wapi? Na kwanini wachukue vitu.... Na sio watu? Mara nyingi nimepita kariakoo naona mgambo wamebeba mali za watu mbalimbali na hakuna watu waliokamatwa... Hii imekaaje?
Hivi hawa mgambo wa city wakichukua vitu vya wamachinga vinaishia wapi? Na kwanini wachukue vitu.... Na sio watu? Mara nyingi nimepita kariakoo naona mgambo wamebeba mali za watu mbalimbali na hakuna watu waliokamatwa... Hii imekaaje?
Mbwiga_Plus Senior Member Joined Jan 5, 2011 Posts 163 Reaction score 42 Jan 11, 2011 #2 Wanapeleka kunako matumbo!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Jan 11, 2011 #3 wanampelekea mkwere
M MONTESQUIEU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 847 Reaction score 80 Jan 11, 2011 Thread starter #4 The Black Moses said: Wanapeleka kunako matumbo! Click to expand... Mbaya sana hii, wanawaonea sana hawa wafanya biashara ndogo ndogo!
The Black Moses said: Wanapeleka kunako matumbo! Click to expand... Mbaya sana hii, wanawaonea sana hawa wafanya biashara ndogo ndogo!