Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Nimeona clip ya Mwanaume mmoja àmbaye alikuwa anatekwa Mchana kweupe pee, mbele za Umma.
Ikitokea upo katika Hali kama hiyo. Fanya utakachofanya, pigana utakavyopigana, jitahidi kadiri uwezavyo lakini Kamwe usiruhusu wakuchukue ukiwa mzima.
Ni ufe au wakuue mbele za halaiki ujulikane uliuawa mbele za Watu kuliko wakakuue mafichoni.
Usiogope Kufa mbele za Watu.
Kufa mbele za Watu ni ushujaa.
Wakuue kama Mbwa Mwizi au Paka shume ni akheri hivyo kuliko wakukamate wakakuulie mafichoni.
Kama hawatafuata utaratibu, waambie watakuchukua ukiwa umekufa na onyesha hivyo.
Usiogope Kufa mbele za Watu ukiwa unajitetea.
Wakikupeleka mafichoni utaumia Sana. Utateseka Sana. Utakufa Kifo kibaya Sana.
Lakini mbele za Watu litakuwa pambano Bora Kabisa la kishujaa. Hautateseka. Haitakuchua dakika Kumi kama ni wakufa utakuwa umekufa.
Mbele za halaiki utakuwa na uwezo hata wa kurusha ngumi lakini mafichoni Hilo halitatokea.
Huna sababu ya kuogopa yeyote linapokuja Swala la kutetea uhai wako.
Nasisitiza, onyesha Kabisa upo tayari Kufa na yeyote au mwenyewe lakini siô kukamatwa kama Swala au Kuku.
Hiyo ndîo íwe Siku uliyokuwa unaisubiria Kwa Hamu. Siku ya Kifo chako. Siku ya Kifo chako Huna sababu ya kuwa mwoga. Kwa sababu hutakuwa na chakupoteza. Ndio Siku ya kuonyesha kuwa wewe ni shujaa, jasiri.
Elewa, watekaji na wauaji Saikolojia Yao inapata Ñguvu zaidi pale wanapohisi kuwa wanayeenda kumteka anaogopa Kufa. Siô ajabu wakija chakwanz hutoa Silaha zào kukutisha na kukuambia watakuua.
Watekaji wanapogundua Huogopi Kufa hofu huwaingia na Hapo huwa na machaguo mawili àmbayo watayafanya Bila weledi. Chaguo la Kwanza ni Kukuua papohapo au kuondoka Kwa sababu watekaji wôte huwa na woga wa kuuawa.
Usiwe na huruma
Usiwe na ubinadamu Kwa Mtu yeyote àmbaye hataonyesha ubinadamu kwako.
Usijali matokeo ya Maamuzi yako KW Mtu anayetaka kukuteka au kukuua.
Usiwaze Familia.
Usiwaze Serikali
Usiwaze Wazazi
Usiwaze Mungu
Unachotakiwa kukifanya Muda huo ni kujiokoa Kwa gharama yoyote na Kwa namna yoyote Ile.
Unahaki ya kujilinda na Kulinda uhai wako Kwa gharama yoyote Ile.
Siô Kosa kumuua anayetaka Kukuua. Hata ukifungwa usijisikie vibaya wewe ni shujaa.
Usiogope Kufa ila epuka kufa kizembe.
Hivyo ndîvyo Watibeli tulivyo.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam