Hapo ndipo temple ya kwanza na ya pili ilipokuwa, mamlaka nyingi zilizopita zilihakikisha kufukia historia ya judea kwa kupandikiza za kwao ila ukweli siku zote unashinda giza.
Miaka ya maelfu ya mateso , leo wamerudi kwao unadhani watakubali kutoka kindezi ndezi✡️