Wanaposema V8 Wanamaanisha nini?

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
1,531
Reaction score
1,134
Habari,
jaman anayeuliza anataka kujua , huwa nasikia tuu V8 na sielew ina maana gani anayefahamu msaada tafadhari
 
Kwa ufahamu wng mdogo, V ni aina ya engine iliyoundwa mfano wa herufi"V" na 8 ni idadi ya cylinder zilizopo kwenye Engine hiyo.
kwa hyo VX ina X cylinder?
naomba unisaidie licha ya ufaham wako mdogo
 
Yes! Na kama engine ni V type na cylinder ni 6 inaitwa V6. Kama 12 inaitwa V12 hii ni kwa magari makubwa ya mizigo(HDV)
Kuna v12 gari ndogo nyingi tu. mfano mercedes benz s600 v12 bi-turbo.
 
A V8 engine is an eight-cylinder V configuration engine with the cylinders mounted on the crankcase in two sets of four, with all eight pistons driving a common crankshaft.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…