Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nilikuwa bored af nikachukia sa hizi namwonea huruma huyo mwanaume!huyu wa kuombewa nahisi ana stress..
toka asubuhi ni yeye na wanaume, wanaume na yeye..unaboa bana!!
mi nilikuwa bored af nikachukia sa hizi namwonea huruma huyo mwanaume!
Sasa niwe na pesa, halafu nijue mapenzi.... pesa itatumikaje hapo sasa!!!! Nikishakuwa na pesa watakuja wengi tu kwa kutaka hizo pesa, sina sababu ya kutumia nguvu.
anaitwa DaJane wa ----mboya.