jangoma Senior Member Joined Sep 24, 2023 Posts 149 Reaction score 326 Aug 1, 2025 #1 Kwa wenyeji wa jiji la Mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili? Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
Kwa wenyeji wa jiji la Mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili? Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
KyemanaMugaza JF-Expert Member Joined Jan 7, 2025 Posts 361 Reaction score 592 Aug 1, 2025 #2 jangoma said: Kwa wenyeji wa jiji la mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili? Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau Click to expand... Nenda hapo sokoni mlango mmoja karibu na mabatini au gulio la Nyasaka kila siku jioni
jangoma said: Kwa wenyeji wa jiji la mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili? Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau Click to expand... Nenda hapo sokoni mlango mmoja karibu na mabatini au gulio la Nyasaka kila siku jioni