Wanariadha 8 wanatarajia kushiriki na kushindana kwenye Mashindano ya African Games (All African Games) yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 8 - 23 Machi , 2024 huko Jijini Accra Ghana.
Michezo itachezewa kwenye miji mitatu; Accra, Kumasi na Cape Coast, na michezo itayochezwa ni pamoja ni pamoja na riadha, Tennis, mieleka, Ngumi, wavu na mingine kama (Badminton, Beach volleyball, Chess, Cricket) .
Kutakuwa na wanariadha wa kimaitaifa , washiriki zaidi ya elfu 5 (5,000) Michezo hiyo, ni sehemu ya kutafuta kufuzu kwa mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika Paris, Ufaransa.