Melubo Letema JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 416 Reaction score 414 Jul 23, 2022 #1 Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
adrenaline JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 3,152 Reaction score 4,843 Aug 1, 2022 #2 Simbu amekuwa wa pili Nchi imekaa kimya kama hakuna kilichotokea
Melubo Letema JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 416 Reaction score 414 Aug 1, 2022 Thread starter #3 adrenaline said: Simbu amekuwa wa pili Nchi imekaa kimya kama hakuna kilichotokea Click to expand... Wanasubiri mashindano ya Jumuiya ya Madola Yaishe, Tarehe 8 Mwezi huu adrenaline said: Simbu amekuwa wa pili Nchi imekaa kimya kama hakuna kilichotokea Click to expand...
adrenaline said: Simbu amekuwa wa pili Nchi imekaa kimya kama hakuna kilichotokea Click to expand... Wanasubiri mashindano ya Jumuiya ya Madola Yaishe, Tarehe 8 Mwezi huu adrenaline said: Simbu amekuwa wa pili Nchi imekaa kimya kama hakuna kilichotokea Click to expand...