Wanasaikolojia-Je kuna dawa inayotibu moja kwa moja schizophrenia bila hilo tatizo kujirudia?

Ok.tatizo linasabishwa na nini??au inataka kufanana na panic attack??

Ni zaidi ya panic attack japo panick attack pia ni moja mental disorders/diseases. Kwa uelewa wangu nadhani unasababishwa na chemical imbalance in the brain
 

"sikuwahi kuona mgonjwa katolewa kwenye hiyo dawa" una maanisha nini?
kwani clozapine unaitumia kwa maisha yako yote au kuna kipindi kitafika utapona na utaacha kuitumia?
 
Habari wana jamii forum, kwa experience yangu kuna dawa nyingi zinazotibu schizophrenia, ila ukiacha kunywa hizo dawa tatizo linajirudia. je kuna dawa inayotibu hili tatizo moja kwa moja? kama ipo inaitwaje?
Kuna dawa special za usingizi na ili kufanya tatizo lisijirudie ni lazima mhusika apunguze mawazo (thoughts per minute) na awe anawahi kulala mapema kila siku na hii iwe ni tabia yake ya kawaida
 
Mkuu pole sana...uo ugonjwa ukiacha dawa unajirudia upya kabisa..nimewahi mshuhudia. Cha msingi kila mwisho wa mwezi utumie dawa wanadai atleast kwa miaka 10 au ni lifetime.....
 

Clozapine inapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…