Sanaa ni taaluma. Wasanii waliolitambua hili, walitafuta elimu sahihi ya sanaa, na kufanya kazi kwa utaalmu huvu wakizingatia maadili ya kazi na bila kupoteza utu wao. Tofauti na wanaojiita wasanii wa bongo. Sanaa ya bongo inafanay mtu ashindwe kuelewa kama hii sanaa ni kwa ajili ya matumizi sahihi ya binadamu au ni uwakala wa shetani duniani.
Sanaa sasa imetawaliwa na ujinga, ushamba, ulimbukeni, ufuska, kukosa mwelekeo na uharibifu wa tamaduni za nchi.
Mfano hiki kijukuu. Sijawahi kukiona kinafanya sanaa yoyote ya maana zaidi ya kuvuma katika matukio ya ukahaba na ugomvi wa kugombania wanaume. Hii nayo ni sanaa?
Na sasa naona kuan mtu aliyefanya kazi nacho, anajuta baada ya kugundua namna kilivyo kijinga. Je sanaa ni ujinga, umalaya, ushambenga, ushangingi na ugomvi wa mapenzi?
Namna gani watu kama huyu wanaweza kusaidika ikiwa hata vichwani hazimo?