Wanasayansi: Hivi kundi la watu/wanyama eneo la wazi wanaweza maliza hewa ya Oxygen?

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
5,119
Reaction score
4,569
Nilishindwa kupata jibu la kisayansi la kile kilichowapata baadhi ya vijana waliokuwa kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu eneo la wazi huko Tanga (tena karibu na fukwe ya bahari la Hindi), kuishiwa pumuzi na kuzimia kutokana na upungufu wa hewa ya oxygen iliyosababishwa na uwingi na msongamano wa watu katika eneo hilo la wazi!

Vijana hawa walianguka na kulala chini wakigalagala kwa ukosefu wa hewa ya oxygen kama tulivyowaona kwenye luninga. Kitendo cha kuweza kulala chini kilimaanisha kwamba angalao kulikuwa na nafasi (space) kati ya mtu na mtu ya kutosha mtu kulala lakini Oxygen imevutwa yote na kuacha vacuum!

Kwa madaktari na wanasayansi naomba mtujuze kama hili linawezekana kweli. Yaani kwa mfano kule mbuga ya Serengeti hayo makundi makubwa ya nyumbu ambayo huwa yanajikusanya kwa ajili ya 'Great Migration' huwa baadhi yanakufa kwa kumalizika hewa ya oxygen? Kwenye closed space kama kumbi za maholi ni jambo la kawaida hasa kama madirisha yamefungwa au hayatoshi, na dawa yake huwa ni kutoka nje kwenye eneo la wazi ambalo lina unlimited amount of air 30% of which is oxygen!

Wanasayansi/ madaktari tupeni jibu.
 
Nadhani uka google kujua reaction of oxygen ikikutana na Carbon dioxide!CO2 ina tabia ya kuimeza oxygen zikikutana na kuzimia ni dalili kuwa hapo mkutanoni oxygen rate ilikuwa ndogo kuliko carbon dioxide waliyokuwa wanaitoa nje!
 
Pamoja na kupika barua ya redcross bado mngali mnahangaika tuu??
 
Kwa hiyo wa tanga walikuwa wana cheza filamu.. Huwez jibiwa ki sayans coz umeleta kisiasa
 
Endelea Kushangaa hivyohivyo...

Bado shangaa na ya Huko Makka Watu zaidi ya 700 wamekufa kwa sababu za msongamano.

Zidi kushangaa kijana, Jifanye umesahau vifo nya watu vinavyotokea kutokana na msongamano.

Jifanye Hujui hata Msongamano wa Magari ya Mbagala na Gongo la Mboto, Jinsi watu wanavyojilundikaga ndani ya gari hadi kukkosa hewa huku vioo vyote vya gari vikiwa wazi.

Basi ww endelea kushangaa tuu.......Nyambafffff....!!!!

Huna Jipya
 
Kesho au kesho kutwa utasikia mtoa mada ana PhD kasomea masuala ya Oxygen
 
Nilishindwa kupata jibu la kisayansi la kile kilichowapata baadhi ya vijana waliokuwa kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu eneo la wazi huko Tanga (tena karibu na fukwe ya bahari la Hindi), kuishiwa pumuzi na kuzimia kutokana na upungufu wa hewa ya oxygen iliyosababishwa na uwingi na msongamano wa watu katika eneo hilo la wazi!

Vijana hawa walianguka na kulala chini wakigalagala kwa ukosefu wa hewa ya oxygen kama tulivyowaona kwenye luninga. Kitendo cha kuweza kulala chini kilimaanisha kwamba angalao kulikuwa na nafasi (space) kati ya mtu na mtu ya kutosha mtu kulala lakini Oxygen imevutwa yote na kuacha vacuum!

Kwa madaktari na wanasayansi naomba mtujuze kama hili linawezekana kweli. Yaani kwa mfano kule mbuga ya Serengeti hayo makundi makubwa ya nyumbu ambayo huwa yanajikusanya kwa ajili ya 'Great Migration' huwa baadhi yanakufa kwa kumalizika hewa ya oxygen? Kwenye closed space kama kumbi za maholi ni jambo la kawaida hasa kama madirisha yamefungwa au hayatoshi, na dawa yake huwa ni kutoka nje kwenye eneo la wazi ambalo lina unlimited amount of air 30% of which is oxygen!

Wanasayansi/ madaktari tupeni jibu.

Hakuna Dr wa binadamu au mwana science atajibu utumbo wako huu, nakushauri uonane na TWAWEZA wao ni mafundi wa tafiti za science hiyo. Jamani ndo maana LOWASSA anasema elimu elimu elimu.
 
Jifunze kilichotokea Macca juzi then urudi hapa...wala hutahitaji msaada wa wanadayansi

wale wa mecca hawaf kisa hewa wale hukanuyagana kwa sababu ya udogo wa eneo na wengi hupenda kufika kwenye maeneo asilia hvyo kuongeza msongamano,pia baada ya kutupa vijiwe huondoka haraka hivyo kutoa mwanya wa kukanyagan
 
Nenda kafuatilie sababu ya tukio hilo vizuri udikurupuke Wewe! Usipende kuandika kitu bila kua na uhakika.
 
Jifunze kilichotokea Macca juzi then urudi hapa...wala hutahitaji msaada wa wanadayansi

Ni kweli! Naona kakurupuka haelewi lolote achana naye! Mwambie akauluze Oxygeni saturation kwenye msongamano wa watu kama ule ni kiasi arapata jibu.
 
Nilishindwa kupata jibu la kisayansi la kile kilichowapata baadhi ya vijana waliokuwa kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu eneo la wazi huko Tanga (tena karibu na fukwe ya bahari la Hindi), kuishiwa pumuzi na kuzimia kutokana na upungufu wa hewa ya oxygen iliyosababishwa na uwingi na msongamano wa watu katika eneo hilo la wazi!

Vijana hawa walianguka na kulala chini wakigalagala kwa ukosefu wa hewa ya oxygen kama tulivyowaona kwenye luninga. Kitendo cha kuweza kulala chini kilimaanisha kwamba angalao kulikuwa na nafasi (space) kati ya mtu na mtu ya kutosha mtu kulala lakini Oxygen imevutwa yote na kuacha vacuum!

Kwa madaktari na wanasayansi naomba mtujuze kama hili linawezekana kweli. Yaani kwa mfano kule mbuga ya Serengeti hayo makundi makubwa ya nyumbu ambayo huwa yanajikusanya kwa ajili ya 'Great Migration' huwa baadhi yanakufa kwa kumalizika hewa ya oxygen? Kwenye closed space kama kumbi za maholi ni jambo la kawaida hasa kama madirisha yamefungwa au hayatoshi, na dawa yake huwa ni kutoka nje kwenye eneo la wazi ambalo lina unlimited amount of air 30% of which is oxygen!

Wanasayansi/ madaktari tupeni jibu.

Wewe unaonaje?
 
Hizi ni zile akili zilizodumaa Kwa sababu ya Umasikini wakakosa lishe bora, kutokana Na Umasikini uliosababishiwa wa ccm huna pesa ya kutembelea mbuga za Wanyama unasikia tu, Wanyama hawabanani wakiwa kwenye uwazi, ni wakati wakivuka mito Na makorongo Kama sehemu hizo ni mbaya Na nyembamba wanakufa Kwa wingi sana.
 
Na cccm si wamekodi watu kutoka Dar ili wakazimie kwenye mkutano wao leo Dodoma,subiri na wao wakishazimia leo huko Dodoma alafu uje utuambie hali ilikuwaje.
 
Kuna Mada Moja Ililetwa Kuhusu Watu Kuelewa Mambo

Sasa Wapo Katika Makundi

*Gold Uelewa Wa Haraka Wa Jambo

*Silver

*Stone Ambaye Ni Mleta Mada Yaani Haelewi Jambo Na Ukimwelewesha
Haelewi
 
Huyo mtoa mada namshangaa sana, kwenye ukumbi kuna idadi maalum ya watu wanaopaswa kuingia. Wakizidi kupita kiasi lolote baya hutokea, jibu zuri kwake ni mfano wa mahujaji waliokufa hivi karibuni huko Saudia kutokana na msongamano.
 
Back
Top Bottom