cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana mimi nahitaji wanangu wasome nahitaji mwanaume mwenye akili wanangu warithi japo akili za baba yao mana ata mimi ni kilaza tu🥲🥲🥲🥲