cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Njoo Dm tutajenge Kwa kwel naweza kukufaa ,Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana mimi nahitaji wanangu wasome nahitaji mwanaume mwenye akili wanangu warithi japo akili za baba yao mana ata mimi ni kilaza tu🥲🥲🥲🥲
Kibaologia baba anaweza kuwa kiraza, mama kiraza lakini mtoto akaja kuwa bright, Kuna uwezekano pia baba akawa bright,mama bright lakini mtoto akaja kuwa kiazi tu.Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana mimi nahitaji wanangu wasome nahitaji mwanaume mwenye akili wanangu warithi japo akili za baba yao mana ata mimi ni kilaza tu🥲🥲🥲🥲
Tanzania watu wengi wenye akili nzuri tu huwa wanafelishwa na mfumo.Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana mimi nahitaji wanangu wasome nahitaji mwanaume mwenye akili wanangu warithi japo akili za baba yao mana ata mimi ni kilaza tu🥲🥲🥲🥲
mfano kijana wetu diamond, yule dogo sidhani kama ana elimu kubwa kama si FFF! lakini ana mkwanja mwingi na ameajiri wasomikufaulu darasani au kutokufaulu sio msingi wa mafanikio ktk maisha!..
nje na kisomo maisha yana kanuni zake tofauti angalia kwenye game ya sanaa uone!.
kipaji huwa kinamtindo wa Kutengeneza lundo la pesa kushinda elimu!, so usikariri.
Watoto huchukua(hurithi)zaidi ya asilimia 80 ya akili kutoka kwa mama.Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana mimi nahitaji wanangu wasome nahitaji mwanaume mwenye akili wanangu warithi japo akili za baba yao mana ata mimi ni kilaza tu🥲🥲🥲🥲
Astaghifilullah!Wewe ni kilaza na yeye ni kilaza. Kwa ufupi kilaza anaishi na kilaza na watazaa vilaza pro max. Umempata wa kufanana nae