MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
Wanascience wako kwenye hatua za mwisho wa kuuhalalisha mmea huu kuwa dawa na suluhisho la matatizo ya kansa na uvimbe katika ubongo na hata matiti. Wanasema zina kemikali {D9-tetrahydrocannabinol} mahususi ambazo zinazuia ukuaji wa seli za kansa na kuchochea kuuliwa kwa seli hizo.
kwa sasa kuna GREENHOUSES za kutosha za kukuza mmea huu katika taasisi za kitafiti na muda sio mrefu mmea huu utaingia sokoni kama zao la kibiashara. Japokuwa kwa sasa kunakuwa na mfumo wa vidonge maalumu au aina nyingine tofauti.
Facts:
1.Majaribio ya Brain Cancer Cells yameonyesha kemikali hiyo inafanya cancer cells zijiue zenyewe (commit suicide au Apoptosis)
2.Kuna aina zaidi ya 50 (species) za bangi duniani, utafiti unaendelea ni aina gani inatafaa zaidi.
3.Mwanzoni mwa miaka ya 2900BC Huko china mmea huu ulikuwa ni dawa ya pekee (medical power flower)
4.Suala hili ni la kimatibabu itumike kwa ajili hiyo tu vinginevyo haishauriwi.
Source:Technion – Israel's Institute of Technology