Wanasayansi Israel: Marijuana (Bangi) ni tiba ya Kansa

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,763
Reaction score
5,607
Wanascience wako kwenye hatua za mwisho wa kuuhalalisha mmea huu kuwa dawa na suluhisho la matatizo ya kansa na uvimbe katika ubongo na hata matiti. Wanasema zina kemikali {D9-tetrahydrocannabinol} mahususi ambazo zinazuia ukuaji wa seli za kansa na kuchochea kuuliwa kwa seli hizo.

kwa sasa kuna GREENHOUSES za kutosha za kukuza mmea huu katika taasisi za kitafiti na muda sio mrefu mmea huu utaingia sokoni kama zao la kibiashara. Japokuwa kwa sasa kunakuwa na mfumo wa vidonge maalumu au aina nyingine tofauti.

Facts:
1.Majaribio ya Brain Cancer Cells yameonyesha kemikali hiyo inafanya cancer cells zijiue zenyewe (commit suicide au Apoptosis)

2.Kuna aina zaidi ya 50 (species) za bangi duniani, utafiti unaendelea ni aina gani inatafaa zaidi.

3.Mwanzoni mwa miaka ya 2900BC Huko china mmea huu ulikuwa ni dawa ya pekee (medical power flower)

4.Suala hili ni la kimatibabu itumike kwa ajili hiyo tu vinginevyo haishauriwi.

Source:Technion – Israel's Institute of Technology
 

Attachments

  • ya ukweli.jpg
    25 KB · Views: 321
  • ya ukweli 2.jpg
    44.5 KB · Views: 291
Parkinson's disease ukiwa nayo inasaidia, maana kama mtu anatetemeka puff chache tu anaenda na kutengeneza kahawa.
Hili nalo jipya tusubiri kama itakuwa ya mafuta au ya kunywa maana ya kuvuta sidhani
 
hii kitu niliisikia mwaka 2008 kuna dogo alipona kwa hiyo tiba US
 
Duh! umezipanda wapi naona ni town .kumbe maget makubwa kunasiri ndani e?
 
Bangi hatari hadi inafanya cancer cells kuchanganyikiwa hadi kujiua zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…