RIO BIZO
Member
- Sep 28, 2011
- 23
- 2
Natanguliza heshima ya pekee kwa forum hii ya kada ya afya ya uganga(doctor),
Ni dhahiri jamii inanufaika kwa hili pamoja na yoote napenda kuchukua fursa hii kuwa introduce kada ambayo pia ni ya muda mrefu lakini watu wake wamekua kimya na kutokan ana enzi hizo kuwa na elimu kiwango kidogo hawakua na uwezo wa kutengeneza hoja(argue).
Kutokana na upeo wenye kiwango kidogo kwa enzi za sasa maendeleo makubwa ya kiteknolojia na ki elimu yameongeza maarifa na utambuzi wa umuhimu wa kada hii, kada hii ni kada ya WANASAYANSI WATAALAMU WA MAABARA ZA AFYA.
Na kwa thread hii naomba kwa heshima na taadhima niombe kufungua threadmpya ya kada hii watanzania wana haki ya kujua jinsi ugunduzi wa magonjwa yao unavyofanyika sio kuwadanganya ie Malaria za uongo mtaani.
Mwenye hoja karibu wataalamu wengi watakuja soon