Wanasayansi tuambieni kuhusu tabia hizi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kinapelekea Watu Wanene Kuwa Na Tabia Ya Kujamba Sana Na Hovyo Hovyo Lakini Pia Watu Wembamba Kuwa Ndiyo Vikojozi Maarufu Wa Vitandani?
Wanasayansi Karibuni Mtuelimishe!
 
Tipwatipwa + kushiba sana = gesi nyingi/kupumua = CHECHE ktk KOTA. Kimbaumbau sijui
 
Hivi Mods, lazima thread zote zijadiliwe?
 
hizi tafiti nyingine zitafanya tuwadharau wakubwa wetu simply because of their body structures, kumbe bosi wangu anajamba jamba hovyo hahaahaaa. ndio maana anahasira kila wakati
 
hizi tafiti nyingine zitafanya tuwadharau wakubwa wetu simply because of their body structures, kumbe bosi wangu anajamba jamba hovyo hahaahaaa. ndio maana anahasira kila wakati

Akikusikia kazi huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…