GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimeambiwa jibu lake ni la Kisayansi zaidi na Binafsi nilidhani ni Masihara ila muda si mrefu nimetoka Kupiga Miayo na Bwege Moja nalo lililokuwa Jirani yangu kutokana na Njaa na Hasira za Upuuzi alioufanya Kipa wa Dodoma Jiji FC Jana ( Mshabiki wa Yanga SC na Mayele ) likapiga halafu kuna Mrembo moja nae kapita ile kutuangalia nae nikaona anapiga Miayo pamoja na Rasta zake za Bigwa Morogoro.