Nimeambiwa jibu lake ni la Kisayansi zaidi na Binafsi nilidhani ni Masihara ila muda si mrefu nimetoka Kupiga Miayo na Bwege Moja nalo lililokuwa Jirani yangu ( Mshabiki wa Yanga SC na Mayele ) likapiga sawa kuna Mrembo moja nae kapita ile kutuangalia nae nikaona anapiga Miayo pamoja na Rasta zake za Bigwa Morogoro.