Wanasayansi wagundua Viagra mpya ya kupaka

Wanasayansi wagundua Viagra mpya ya kupaka

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume kama losheni inayopakwa kwenye uume na wamesema kuwa dawa hiyo mpya haina madhara yoyote mwilini na huanza kufanya kazi sekunde chache baada ya kupakwa kwenye uume

Source; NIFAHAMISHE.COM
 
duh hawa watu sasa wanataka kutuua, hakuna kisicho na madhara bwana, wachina nao wanazakwao sasa unafikiri watashindwa kufoji na hiyo?
 
Sasa Kwa Mfano Ukipaka Kaa Lotion Mwili Mzima inakuwaje?

B.
 
duh hawa watu sasa wanataka kutuua, hakuna kisicho na madhara bwana, wachina nao wanazakwao sasa unafikiri watashindwa kufoji na hiyo?

jamani nunueni dawa yangu,
ni ya kiasili na sijaona ikidhuru.
Nimeadvance madawa ya wamasai na wasukuma na nimepata matokeo mazuri sana kwenye utafiti wangu nilioufanyanya kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali.
 
Duh! hiyo yako ikoje?
 
Mkuu madogo yako wapi?
Huu mzigo muda si mrefu utashuka TZ

Mzigo ukishuka usisahau kutupa breaking news. Umri ushaenda kaka, tunahitaji visaidizi kabla nadogo hawajatumegea.
 
Back
Top Bottom