Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
DNA, VINASABA
Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata katika hali ya kiroho zaidi.
Kama katika familia yako au mzazi wako ni mganga ama mchawi basi tambua na wewe ni mganga ama ni mchawi hata kama haijajionesha kwako DNA zenye taarifa ya uganga ama uchawi hazina tofauti na DNA zenye taarifa ya ualubino unaweza kubeba kinasaba cha ualbino lakin usiwe albino, ndivo dna za kichawi pia huwa unaweza beba dna hiyo ukajakutana na mtu ambae nae katoka familia ya kichawi ama kiganga basi jua kiumbe kitakacho zaliw hapo nikichawi au kiganga
Hiyo ni mifano tu sio kwenye uchawi pekee hata katika mali mtu huwa na mali nyingi kama ataishi na mtu ambae kwao wanavinasaba vya mali
ikiwa mmekutana kwenu wote ni maskini msahau kuja kuwa matajiri
Uzuri wa hizo dna unao uwezo wa kuzibadilisha kuondoa dna za ukoo wako na kuingiza zako unazo taka wewe. Najua unatoa macho kivipi ,,hii inawezekana kabisa....... tafuta maarifa
Hata makanisani wanajaribu tu kusema nakataa maagano ya mababu navunja kwa damu ya Yesu, nicheke kwanza😃,kweli mnajaribu kukataa hizo DNA lakini hamtafanikiwa cz hazitolewi kwa style hiyo ya kukemea
Kuna watu wametoka katika familia za kimaskini mno wanabaki kukazana kuwa ni laana ya ukoo si laana hizo ni damu za mababu zenu, na kila siku tunaingiza taarifa mbaya katika DNA zetu mfano unapojihusisha na usagaji au ushoga tambua hyo hali inaweza kuja kuwa na kinasaba cha kizazi chako chako cha mbele, sijui mnanielewa?