PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Huwa na waza sana, kwamba ili mtu awe hai ni lazima moyo uendelee kufanya kazi na kusuply damu maeneo yote ya mwili.
Sasa wanasayansi wanashindwa vipi kutengenezea moyo bandia ili usaidiane na moyo halisi, ili itapofika muda moyo halisi umeshindwa kufanya kazi basi moyo bandia unaendelea kufanya kazi hivyo kufanya mtu aendelee kuishi badala ya kufa. Hapo kimeshindikana Nini??