Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ฅ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ท๐ถ๐ฏ๐ฎ๐ฑ๐ถ๐น๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ ๐ถ๐น๐ถ๐๐๐ผ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐ผ๐๐ถ๐ฒ ๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ฟ๐บ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฟ
Si mnakumbuka Ile Movie ya Terminator Adui mmoja aliyekua anaitwa sky alikua na uwezo wa kujibadilisha kutoka sura ya chuma kuwa na ngozi kama ya Binadamu ya Mtu Fulani sasa inakuja kwenye Maisha ya uhalisia.
Katika maendeleo ya Teknolojia Watafiti wamefanikiwa kuunda aina mpya ya mkusanyiko wa Roboti unaofanana na uwezo wa kujibadilisha kutoka hali Fulani kuwa kitu Fulani mfano kutoka kuwa chuma Kuwa na Ngozi kama binadamu ubunifu huu utakuja kuleta uwezo wa ajabu wa Roboti kuweza kubadilika kulingana na wakati.
Utafiti huu uliongozwa na Mathew Devlin kutoka chuo kikuu Cha California Santa Barbana timu ilifanikiwa kuunda Roboti ambaye anaweza kubadilika kutoka hali ya chuma kuwa kawaida au kujibadilisha kutoka sura ya kawaida kuwa roboti.
Teknolojia hii imekuja kuiga mchakato wa kibailogia inayozingatia katika ukuaji wa seli kwa kushikamana kupitia sumaku inayozunguka Kila eneo la Roboti ambapo inampa uwezo wa kujibadilisha badilisha kutoka chuma kuwa ngozi ya kawaida au ngozi ya kawaida kuwa chuma.