francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
Kwanini sio Ronaldowadau hiii kitu mmeiskia????
mkuu mim mwenyew nimeiskia cloudsWeka picha kwanza tuisikie vizuri....Ndiyo Picha
hahha labda hana vigezo mkuuKwanini sio Ronaldo
Wakitengeneza wa Ronaldo atawatia hasara ya kumpeleka Gym ili awe fiti muda wote,,,wa Messi hata akiwa anashinda vijiwe vya kahawa akiingia uwanjani anapiga sokaKwanini sio Ronaldo