Wanasayansi ya Finance tujuzeni Unafuu wa Mkopo (soft loans) uko kwenye Riba au Dhamana?

Wanasayansi ya Finance tujuzeni Unafuu wa Mkopo (soft loans) uko kwenye Riba au Dhamana?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni vema nyakati hizi tukawa tunaelezana mambo kwa usahihi kabisa tukiongozwa na nguli wa industry husika

Kwa sasa story ya mjini ni mikopo

Niwaombe Nguli wa Finance watujuze Mikopo Nafuu kwa level za kimataifa tunaipimaje

Kwa rate ya interest?

Au kwa Collateral inayohusika na mkopo?

Ama Risk kwa pande zote mbili?

Nimekaa pale nawasubiri Dr Luchemba, Dr Mashawishi na Dr Mutaitina na Prof Arora😄😄😄
 
Back
Top Bottom