Wanasema "Trust your Intutions", Hapa Naibiwa

Wanasema "Trust your Intutions", Hapa Naibiwa

GenuineMan

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
6,260
Reaction score
14,470
Mara umekaa zako, mpenzi wako anakuaga kuwa ana safari kwenda kusalimia ndugu.

Unamuaga vizuri, mara huna hili wala lile inaingia sms

Anasema eti, "ukiona sipatikani, ujue ni mtandao unasumbua."

Mara zote amini usiamini hapo kuna usaliti unaenda kufanyika.

Update#:
Kama ambavyo intutions zangu zilinituma, demu aliliwa jana jioni,.
Demu kajiumbua mwenyewe kwa ujinga wake.
 
Mara umekaa zako, mpenzi wako anakuaga kuwa ana safari kwenda kusalimia ndugu.

Unamuaga vizuri, mara huna hili wala lile inaingia sms

Anasema eti, "ukiona sipatikani, ujue ni mtandao unasumbua."

Mara zote amini usiamini hapo kuna usaliti unaenda kufanyika.
Usiamini hivo! Kuwa Positive, Siku hizi mtandao unasumbua sana.
 
Anaweza akapatikan alafu jamaa yupo juu ya kifua.
tena anamwambia tulia kwanza bwege wangu anapiga.mtaongea ukiaga tu wanaendelea.hivi viumbe ndo maana vikaitwa HAWA
Unasema kweli huyu ashindwi kufanya hivi.
 
Atajua mwenyewe apigwe asipigwe mradi usimfume au kuleta dharau tu..
Vinginevo piga chini.
 
Nakuambia Mimi shida ni mtandao tu. Kama mimi simu yangu inasumbua sana. Mtu asiponiamini shauri zake.
Unajua nini dada.

Huyu kaniambia hata kabla hajaondoka.
Na sehemu anakokwenda ni mjini. Si rahisi mtandao kusumbua hadi kunipa alert kabla hajaanza safari.
Angekuwa anaenda kijijini ndanindani sawa.
Ila alikwenda ni town kabisa.

Kafika huko kanitafuta mwenyewe mtandao u unapatikana vizuri.
 
na wewe mjibu ukirudi usinikute usishangae hameni Nyumba asirudi
 
Unajua nini dada.

Huyu kaniambia hata kabla hajaondoka.
Na sehemu anakokwenda ni mjini. Si rahisi mtandao kusumbua hadi kunipa alert kabla hajaanza safari.
Angekuwa anaenda kijijini ndanindani sawa.
Ila alikwenda ni town kabisa.

Kafika huko kanitafuta mwenyewe mtandao u unapatikana vizuri.
Sasa hapa sina tena ushauri 😜🤗
 
Back
Top Bottom