GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Usiamini hivo! Kuwa Positive, Siku hizi mtandao unasumbua sana.Mara umekaa zako, mpenzi wako anakuaga kuwa ana safari kwenda kusalimia ndugu.
Unamuaga vizuri, mara huna hili wala lile inaingia sms
Anasema eti, "ukiona sipatikani, ujue ni mtandao unasumbua."
Mara zote amini usiamini hapo kuna usaliti unaenda kufanyika.
Unasema kweli huyu ashindwi kufanya hivi.Anaweza akapatikan alafu jamaa yupo juu ya kifua.
tena anamwambia tulia kwanza bwege wangu anapiga.mtaongea ukiaga tu wanaendelea.hivi viumbe ndo maana vikaitwa HAWA
Kuna vitu vya kuwa positive.Usiamini hivo! Kuwa Positive, Siku hizi mtandao unasumbua sana.
Kama ninyi wanawake mmegundua hivyo, ndio basi tena.Mh hapo sign ya wazi kabisaa
Nakuambia Mimi shida ni mtandao tu. Kama mimi simu yangu inasumbua sana. Mtu asiponiamini shauri zake.Kuna vitu vya kuwa positive.
Ila hili ni kujidanganya tuu.
Asante sana.Pole sana mkuu., na uvumilie tu maana mpenzi wako anaenda kwa mpenzi wake..!!
Unajua nini dada.Nakuambia Mimi shida ni mtandao tu. Kama mimi simu yangu inasumbua sana. Mtu asiponiamini shauri zake.
Yes la muhimu sana hili.Atajua mwenyewe apigwe asipigwe mradi usimfume au kuleta dharau tu..
Vinginevo piga chini.
Sasa hapa sina tena ushauri 😜🤗Unajua nini dada.
Huyu kaniambia hata kabla hajaondoka.
Na sehemu anakokwenda ni mjini. Si rahisi mtandao kusumbua hadi kunipa alert kabla hajaanza safari.
Angekuwa anaenda kijijini ndanindani sawa.
Ila alikwenda ni town kabisa.
Kafika huko kanitafuta mwenyewe mtandao u unapatikana vizuri.
Ukipigwa na kitu kizito, unakuwa mwalimu tayari.Mapenzi shikamoo ,Sasa yamekukuta unakuja kutufundisha sisi wahisani juu ya indicator za kuchitiwa ?