cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
sio kwenda law school ni kufaulu hiyo law school.
mahakama haiwezi kuwazuia wanasheria kuendesha mashitaka. mawakili wa serikali wote wamepitia training nyingi sana na wana uzoefu wa kutosha. ajabu yake ni kwamba, hata ukimaliza lawschool na kufaulu, ukiingia ofisi ya mwanasheria mkuu ukawa prosecutor bado unahitaji training nyingi sana, ile ya lawschool tu ni more of theory na utafanya kazi karibia mwaka mmoja na zaidi ndio utakuwa convesant na taratibu za kuendesha mashitaka.Kumekuwa na tabia ya baadhi ya taasisi zinawatumia wanasheria ambao hawajaenda law school wakati wameajiliwa muda mrefu na wamekuwa wakiomba kwenda kujiendeleza lakini hawapewi nafasi hiyo hata kama wameomba kwenda kujisomesha wao wenyewe.
Ni jambo la msingi sasa idara ya mahakama iwazuie hadi wamalize/wapelekwe law school kwani hii ni kuwanyima haki yao ya msingi na kuwabana wasiweze kubadili mwajiri kwenda kutafuta maslahi bora na utendaji ulio bora.
Ikiwezekana Chama Cha Wanasheria Tanzania kiingilie katika hili kwani ni kudumaza tasinia ya sheria.