Aisee!likichukuliwa hili bandiko likapelekwa insta au X lazma member wa jf tupate aibu
Lissu mwenyewe ametoa tafsiri ya kukinukisha aliyokuwa amekusudia. Wote tulijionea kilichotokea Oct29, alimaanisha kile, kweli ni mhaini, achana na mambo ya jangles za kisheria. Ukate ulioliwa na panya unafahamina na ule ulioliwa na paka unafahamika pia. Huwezi kucheza na maisha yetu kwa sheria hizi mbovu zilizoko.Ndiyo mwisho wa kutumia ubongo wako kufikikiri hata bila kuangalia sheria inasemaje?? Kesi inayomkabili Mh Lisu ni "UHAINI" Kuna shahidi uliyemsikia akitoa ushahidi wa namna ya Mh Lisu kuipindua serikali zaidi ya ngonjera za uchochezi??
Naelewa sasa kwanini upande wa Jamhuri wameng'ang'ania mashahidi wa kificho. Ni mtu mmoja kama wewe eti ana ushahidi wa kutosha. Mwisho wa siku Jamhuri wanaona wakufanyie rotation kwenye lile box kama mashahidi tofauti kumbe ni mpuuzi yule yule tu anabadilisha majina kazi na maeneo atokako.
Tunaonekana JF haina watu timamu, kumbe mpuuzi mmoja tulikichukuliwa hili bandiko likapelekwa insta au X lazma member wa jf tupate aibu
wewe ndiye unaonekana huna akili. Lissu aliposema atanikunisha sana wewe kama mwehu hukushituka? Ulidhani kunukisha ni kukupakua hadi harufu ijitokeze? Watanzania wakiwemo majaji walimsikia Lissu akijiapiza kuwa lazima Oct29 atakinukisha vibaya sana na kweli Oct29 kweli vituo vya polisi vilichomwa moto na kuporwa silaha na sare za polisi zilizotumika kuua ovyo askari polisi na watu, na mali nyingine zikiwemo vituo vya kura, sheli, mwendokasi, TRA, majengo ya serikali na CCM kuchomwa na kuharibiwa. Huko mahakamani wanatafuta ushahidi gani? Lissu anatakiwa kuthibitisha kama kauli zake zile sio sehemu ya kile kilichotokea oct29.Tunaonekana JF haina watu timamu, kumbe mpuuzi mmoja tu