Wanasheria, hivi kweli hapa kuna kesi?

Wakifanikiwa kumfunga Mbowe kuanzia askari hao, Jaji hadi wafagizi wa mahakama watapanda vyeo.

Hii ni Golden Chance kwao.
 
DPP na Mahakama wote waziri wao ni mmoja!

Kwa sasa ni Prof Kabudi.
Profesa wa Jalalani. Imagine bwashe. Huyu Profesa naanza kuamini wanafunzi wake akina Tundu Lisu walifaulu kutokana na ugenius wao siyo couching yake. Kabudi aliyekuwa mwanasheria wa Kanisa Angalikana Tanzania. Daaah.
 
Kwa jinsi yule jaji alivyo Pungaaa, usishangae kesho akisema, pingamizi hilo japokuwa ni sahihi lakini haliwezi kuathiri mwenendo wa kesi hivyo analitupilia mbali na kuamuru kesi iendelee.
 
kwa mnayomfanyia mbowe samia na genge lako jiandaeni kukimbia nchi 2025, andaeni kabisa mabegi yenu
 
Nilimuunga mkono Lema kwamba Mbowe na wenzie waondoe Mawakili wao lakini acha tu huu UHUNI na UNAFIKI wa hii Serikali haramu uendelee ili tuone mwisho wake. Namhurumia sana Mbowe na familia yake kwani kuna kila dalili Xmas na mwaka mpya atazilia lupango.



Wanasheria tunaomba mtusaidie juu ya hili jambo.

Sioni kabisa logic ya Mbowe kuendelea kujitetea mbele ya hii mahakama.

Someni hiki:

View attachment 2005847

View attachment 2005849
 
Mkuu wacha yote yatokee maana hakuna popote pale duniani hasa barani Afrika ambapo mpigania haki hajawahi kufungwa.
 
Hakika Mungu ana makusudi kwa kila jambo.
 
Reactions: BAK
Unalalama, unashauri au unasikitika.?
Nasikitika kwa kua na wapinzani ambao wanajua mwisho wa kesi na bado wanashiriki hawaonyeshi protest yoyote,kazi kulalama,hata uchaguzi ukifika watashiriki ilhali wanajua kitakachotokea.
 
Nasikitika kwa kua na wapinzani ambao wanajua mwisho wa kesi na bado wanashiriki hawaonyeshi protest yoyote,kazi kulalama,hata uchaguzi ukifika watashiriki ilhali wanajua kitakachotokea.
Huko sii kutafuta kuhalalisha mashitaka bambikizi, kwa mujibu was vielezo vya wabambikiaji, chama Cham ubora was viwango vya kidunia haviwezi kijiingiza huko, kinahitaji kuwathibitishia wabambikaji kuwa wemebambika na ni waovu was wakati wote🏋️.
 
Makosa makubwa watanzania watakayojutia miaka 20 mbele ni kuletewa dikteta uchwara 2015.

Kwa nchi ilivyokua imefikia itachukua miaka mingi kufanya restructuring kwenye kila sekta maana nadhani hata ofisi yake yule aliivuruga khasa kila kitu kilikwenda as per his say hakuna utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…