SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Wakuu,waheshimiwa wanasheria.
Ijumaa nilipata homa kali sana mida ya usiku so nikaamua kwenda hospital ya jirani kwa matibabu ya haraka. Nilipofika nikachomwa sindano ya declofenac ili kushusha homa kali,ilikuwa 40 degree. Nikapima damu na mkojo
Majibu yalipokuja Dr akanambia nina maralia, akanipa dawa za maralia. Nikashangaa sababu mimi nimtu nayejikinga sana na mbu iwe mchana au usiku (kwa net na repellent gel). Nikaamua kutokunywa dawa na jmos asubuhi nikawahi aghakhan kwa vipimo zaidi. Pale wakafanyafull blood picture na maralia test. Majibu wakanambia sina maralia kabisa. Nikashauriwa ninywe maji mengi sana na nikapewa panador. Niko fit na nimepona kwa maji napanadol.
Kama mnavyojua maralia inasababisha vifo vingi kuliko hata UKIMWI, so nilipoambiwa ninamaralia kali nilipata emotional distress, na familia pia.
Kwa kuwa watu wanapokuwa miss diagnosed hasa na HIV/AIDS mara nyingi hufungua kesi nakushinda.
Na kwa kuwa maralia ni hatari kuliko HIV/AIDS .
Je nawezakuwashtaki hawa walio ni miss diagnose na maralia na kunisababishia, shambulio la kifikra, upweke, uoga, na wasiwasi mkubwa??
Nipeni ushauri wa kisheria