Paschal Matubi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2008
- 235
- 303
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kisheria ama kwa mazoea duu???Mtashindwa ndio
tazameni taratibu na mzifuate
Cha kwanza waachanishe kazi kwanza
ina maana warudisheni na muwape mishahara lakini
msiwape kazi yoyote
waje tu ku sign na kukaa wasiguse lolote...
halafu anzeni process ya kuwafukuza..kwa kuanza kuwafungulia kesi
kupitia huko huko CMA
Ni wajiriwa wa ajira gani. Zipo aina 3Nina wafanyakazi ni wakorofi na tumewafukuza kazi. Lakini kule CMA wamefungua madai kwamba procedure ya ku-terminate employment yao imekosewa na ni kweli tukiangalia ni kwamba tulikosea.
Je, tunaweza kushindwa kesi hii hata kama sababu ingawa grounds za kuwafukuza (substantive issues) tunazo lakini prcedure tu ndiyo tumekosea.
Au niliweke kivingine swali langu kwamba, je kama mwajiri ume-prove kwamba substantive una grounds za kumshinda mwajiriwa, je kama nimekosea procedure bado sina room ya kushinda kesi?
Mkubwa hata kama walifanya makosa lakn taratibu za kuwa terminate yaan fair procedure hazikufuatwa ujue unakosa kisheria,,,soma kifungu cha 37 cha sharia ya Ajira na mahusiano KAZN NA 6/2004 ...na utawalipa hela za kutosha tuu endapo tu they will claim unfair termination soma kifungu cha 40 cha sheria tajwaNina wafanyakazi ni wakorofi na tumewafukuza kazi. Lakini kule CMA wamefungua madai kwamba procedure ya ku-terminate employment yao imekosewa na ni kweli tukiangalia ni kwamba tulikosea.
Je, tunaweza kushindwa kesi hii hata kama sababu ingawa grounds za kuwafukuza (substantive issues) tunazo lakini prcedure tu ndiyo tumekosea.
Au niliweke kivingine swali langu kwamba, je kama mwajiri ume-prove kwamba substantive una grounds za kumshinda mwajiriwa, je kama nimekosea procedure bado sina room ya kushinda kesi?
Na bora asipone haya ndo maajiri yanayojifanya miungu watu,yaani linaona likikuajiri basi linaweza kukufanya chochote muda wowote kionevu bila kujali haki zako,Mungu saidia lipigwe penalt,Mkubwa hata kama walifanya makosa lakn taratibu za kuwa terminate yaan fair procedure hazikufuatwa ujue unakosa kisheria,,,soma kifungu cha 37 cha sharia ya Ajira na mahusiano KAZN NA 6/2004 ...na utawalipa hela za kutosha tuu endapo tu they will claim unfair termination soma kifungu cha 40 cha sheria tajwa
Kupona kwako labda kama kuna mfanyakaz hajafikisha meiz 6 hapo KAZN kwako