ibesa mau JF-Expert Member Joined Sep 17, 2015 Posts 2,109 Reaction score 1,697 Jul 6, 2016 #1 Nimeamua kuleta huku hili suala hili lipate ufafanuzi wa kisheria , kwani hili suala limekuwa likijadiliwa kwa hulka bila utaratibu. Je uteuzi wa ma das unaolalamikiwa kukiuka sheria na kanuni wanasheria mnasemaje
Nimeamua kuleta huku hili suala hili lipate ufafanuzi wa kisheria , kwani hili suala limekuwa likijadiliwa kwa hulka bila utaratibu. Je uteuzi wa ma das unaolalamikiwa kukiuka sheria na kanuni wanasheria mnasemaje
ibesa mau JF-Expert Member Joined Sep 17, 2015 Posts 2,109 Reaction score 1,697 Jul 6, 2016 Thread starter #2 wewe kama si mwana sheria usichangie
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,001 Jul 9, 2016 #3 Sheria haijakiukwa bali busara.