Hivi Mods, mnaverify vipi mtu wa kumwingiza hapa?...Nadhani muanzishe japo questionaire ya common-sense!...itatusaidia ku'eliminate WAPUMBAVU!Huyu Slaa naona anahitaji msaada wa wanasheria. hii jumuiya yenu inaheshimika na watanzania wote. zungumzeni ukweli. hali za watu wa vijijini na watu wengi wa mijini ni mbaya mno sote tunazifahamu. nyie mnajua. Democrasia imefuatwa sasa imekuaje? watu wanataka jemadari mungine wazee hata mzee nyerere sialikubali kuondoka,. Sasa wakuu mnamsimamo gani. Mimi ni Muhasibu.
Watu wengine wana akili za kima,wakati kama huu tunatafakari yaliyotokea halafu anaibuka huyu mpuuzi anayejiita mhasibu,kwanza afutiwe uanachama au ahamishiwe tarime.[/QUOTE]
Kwanini mkuu!
Watu wengine wana akili za kima,wakati kama huu tunatafakari yaliyotokea halafu anaibuka huyu mpuuzi anayejiita mhasibu,kwanza afutiwe uanachama au ahamishiwe tarime.[/QUOTE]
Kwanini mkuu!
Aise, mimi kama wanasheria wenyewe ni elitist namna hii asanteni. Lakini na nyie mnakaribishwa na baadhi yenu nimewaona kwenye Jukwaa La Business na Economics. you need to get your acts together. You are not the only lawyers in East Africa. You left the gate open for public so Demokrasi labda inamaana nyingine kwenu mabwana siri-kali. sirudi hapa hata mnipe hela. audhubililahi mina nari.
Hivi Mods, mnaverify vipi mtu wa kumwingiza hapa?...Nadhani muanzishe japo questionaire ya common-sense!...itatusaidia ku'eliminate WAPUMBAVU!
wanasheria mnatakiwa mjibu hoja na sio kutukanan, na kama ni kweli nyie ni wanasheria mliomtukana huyu jamaa aliyeleta hoja yake napata wasi wasi kuhusu uanasheria wenu
Watu wengine wana akili za kima,wakati kama huu tunatafakari yaliyotokea halafu anaibuka huyu mpuuzi anayesema yupo mahabusu,kwanza afutiwe uanachama au ahamishiwe tarime.
Nilidhani alisema yeye kitaaluma ni MHASIBU! Duh taabu kweli kweli!