abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
A alimshitaki B kwa shauri la madai. Ilipofika siku ya kupanga speed track wakakubaliana kuendesha kesi ndani ya mwaka mmoja tangu siku ya kufungua shauri. Kumbe A akuweka vizuri kumbukumbu zake, hivyo akili yake ikabaki inamwambia kuwa speed track hawajapanga. Mediation ilipaswa kuchukua mwezi mmoja tu.
B, alipogundua kuwa A hana kumbukumbu alikula pini. Mediation ikaendelea hadi ikala muda wote wa mwaka mmoja ulikuwa umepangwa. Mediation ilifeli, na shauri likarudishwa kwa ajili ya litigation. Litigation iliendelea kwa kusuasua na baada ya miezi kama mitano ndo ushahidi ukaanza. Siku ya kutoa ushahidi A akaja na hoja ya kuondoa shauri kortini.
Sheria inasema kwamba muda wa speed track ukiisha au kukaribia kuisha, mwenye kesi anapanswa kuomba kuongezewa muda, lakini vile vile hapa nilipo nina judgements za high court zinasosema kwamba kama mwenye kesi hakuomba muda wa ziada na hakimu akaendelea kusikiliza shauri hilo basi chochote kitakachoendelea baada ya muda uliokuwa umepangwa kuisha ni batili (nullity)(anayeziitaji nitampa hizi judgements)
maswali:
1. je A aliondoa kesi ipi wakati ilikuwa haipo?
KARIBU