CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Mkuu unataka kukwepa ushuru??
Naamini wataalamu watakujibu...
Mkuu unataka kukwepa ushuru??
Naamini wataalamu watakujibu...
Hapana, nimesoma through the act sijaona mahali natakiwa kuweka stamp duty when purchasing unregistered/unsurveyed lan. Nataka kujiridhisha. Habari za kwetu.
Kama haipo kwenye act maana yake haiwezi kukubana au?