Wanasheria msaada wenu tafadhali!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Wasalaam wadau! Nina degree ya usimamizi wa biashara,Naweza kusoma masters ya Sheria? Au kuna njia ipi sahihi kusomea sheria ukiwa na degree ya kwanaza tofauti na sheria?
 
unaweza kusoma mkuu ila itakusumbua sana mana una basic ya law.. kwa mtazamo wangu unaweza ukapiga dip au certificate ya law ili ikipu brash kidogo arf uje upige masters ila kamaupo pouwa unaweza ukasoma mana watu wapo wanaosoma
 
Asante kutujuza mkuu!
 
Hata ukifanikiwa kuisoma itakusumbua baadae maana kwa sasa qualification za law school ni LLb nasio LLM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…