Wanasheria na wanadiplomasia naombeni tafsiri ya maneno haya (ya kiitifaki)

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
Kwa wenye uzoefu wa sheria na itifaki
His/her majesty najua ni Jalali (Mfalme) na Jalalati (malkia) mfano Jalalati Malkia wa Uingereza
His/her excellency (ukiwa unamzungumzia Rais)?
Right Honourable (ukiwa unamzungumzia waziri mkuu)
Honorable (wabunge na mawaziri)
His/her worship (ukiwa unamzungumzia meya wa jiji)
 
Mshtahiki Meya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…