Hana kinga ya ICC, lkn ndani huwezi.......................... na ndiyo maana jiwe anafanya lolote alipendalo. Lakini kama anavunja katiba na sheria, akija mwingine naye atavunja katiba na sheria amshitaki....????? looks ridiculous anyway!Katiba imetoa kinga ya rais kutoshitakiwa kwa makosa atakayofanya wakati akitekeleza majukumu yake.
Sasa nawaulizeni enyi wanasheria na mnaojua sheria.
(a) Ikitokea rais akatoa amri ya kuua watu wake, hashitakiwi?
(b) Kama jibu la swali (a) ni NDIYO, hamuoni kuna hatari kwamba rais anaweza kutoa amri watu wa mkoa fulani/kanda fulani/mrengo fulani wa kisiasa wauawe?
(c) Kama jibu la swali ( a) ni HAPANA, hili agizo la rais kuwataka polisi wakiuwa wapandishwe vyeo, haliwezi kuwa kosa la kumtia hatiani na kumuondoa madarakani?
Naomba majibu ya kina ikibidi nipewe hata nukuu za katiba na vifungu vya sheria.
Kumbe tutarajie watanzania wengi kupoteza maishaHana kinga ya ICC, lkn ndani huwezi.......................... na ndiyo maana jiwe anafanya lolote alipendalo. Lakini kama anavunja katiba na sheria, akija mwingine naye atavunja katiba na sheria amshitaki....????? looks ridiculous anyway!
Kumbe tutarajie watanzania wengi kupoteza maisha
Kwa maoni yqngu 2020 upinzani wasisimamishe wagombea, kwasabb wakurugenzi wote wata-apply uJechaHivi kwa Makonda, Sabaya, Chalamila au Gambo, nako kutakuwa na uchaguzi 2020?
Sent using Jamii Forums mobile app