Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naomba kujulishwa kama ushahidi wa kimazingira(circumstantial evidence) unaweza kutumika mahakamani kumtia mtu hatiani.
Pamoja na hayo maelezo(kama yatapatikana) naomba pia kutajiwa kesi mojawapo (ikiwezekana ututajia ni kesi namba ngapi na ni ya mwaka gani) ambayo ushahidi wa kimazingira ulitumika kumtia mtu hatiani.
Nauliza hivi kwania njema kabisa kwasababu hata hapa mtandaoni watu tumekuwa tukiamini(pengine kimakosa) kuwa tukiandika jambo/tukileta mada inayoweza kutafsiriwa kuwa inamgusa au inamuhusu mtu fulani hatuwezi kuwa matatani mradi tu mada hasukia haijamtaja mtu moja huyo kwa moja kwa jina lake wala kutaja cheo chake.
Nawasilisha.