Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
But si mbaya kumshauri koz naona each post inakomalia aliyetuma post Akasome...! Lawyers usually give opinion Na Trust me Sheria ipo applicable wherever you go..sidhani kama ni offence kumpa jibu,,kwanza Nina doubt wanaotoa ushauri ni Half-baked lawyers...if you're a learnt fella hutoacha kumshauri MTU either layman or what's soo ever,,hembu waza jamii inakuchukuliaje kwa majibu yako au hata mtaani au kwenu ama client akikuomba ushauri huwa una respond the same..!! Huo ndio u advocate mchwara sasa be Positive Na jifunze kuwa kioo kwa jamii
Tunasoma Ili tuwaeleweshe wengine kwa urahisi, hatusomi Ili tuwaambie Na wengine wakasome Kama sisi, bila kujali level zao Na michepuo yao kitaalumaKasome kitabu cha LAWS OF TANZANIA THROUGH CASES by BWANA J.
Kwani kwenye forum hii wapo ma lawyers tuu au,tuache ubinafsiPole..sasa lawywer unataka utafuniwe
Leo nimepata majibu kuhusiana na kesi ya JPM.Nasubiria kusoma kutoka wanasheria
Mtu aliyeelimika hawi hivyo brother ingekuwa hivyoo hata dr.akienda hospital kutibiwa na dr.mwenzie wangekuwa wanaambiana wakasome.inaonyesha nikiasi gani una i.q ndogo sanaa.ni bora ukatoa maelezo ili uonekane ni msomi utoe na reference yasehemu uliyosoma hapo ndo tutakuona ww msomi. Badilika wote tusomao humu sio wana sheria kaa ukitambua hilo.Pole..sasa lawywer unataka utafuniwe
Sasa unapewa njia rahisi kasome sehemu fulani unatakaje ?? Kuna vitu vingine havitafai kutafuniwa mjomba.Mtu aliyeelimika hawi hivyo brother ingekuwa hivyoo hata dr.akienda hospital kutibiwa na dr.mwenzie wangekuwa wanaambiana wakasome.inaonyesha nikiasi gani una i.q ndogo sanaa.ni bora ukatoa maelezo ili uonekane ni msomi utoe na reference yasehemu uliyosoma hapo ndo tutakuona ww msomi. Badilika wote tusomao humu sio wana sheria kaa ukitambua hilo.
Naomba kujulishwa kama ushahidi wa kimazingira(circumstantial evidence) unaweza kutumika mahakamani kumtia mtu hatiani.
Mie siyo mwanasheria na sina jibu la kufaa kwa swali lako. Ila kwa kuheshimu nia yako nzuri na kukutia moyo hebu jaribu kupitia kesi iliyoamriwa hivi majuzi ya yule askari kiongozi aliyehukumiwa kifo katika sakata la Mabwe Pande. Uanzie hapo yaliyobaki ya kina wanasheria wanyenyekevu watakusaidia. Kusoma ni pamoja na kukubali kuwa kuna wakati mwingine unahitaji msaada wa wengine. Wewe utaweza kuwa msomi mkubwa sana huko mbele. Bahati mbaya fani yangu ni nyingine kabisa. Ningechangia mawazo zaidi katika mada hii.
unavyoonekana hujui kitu wewe, sheria yako uliyosoma na muda uliotumia ni bora ungefungua kibanda cha shoe shine walau ungekuwa hukosi 1000 kwa siku, mtu anaomba msaada wewe unamwambia kasome, sasa huo ni msaada au ni mzigo? na ndo madhara ya kukurupukia fani, LAW LAW yaani kilichopo kichwani mwako ni majina ya vitabu tu ila hata hujui vimeandikwa niniSasa unapewa njia rahisi kasome sehemu fulani unatakaje ?? Kuna vitu vingine havitafai kutafuniwa mjomba.
Huyo alikua anataka cases za cirm.evidence ndo nikamuagizia pa kuzipata...sasa ulitaka nimchambulie izo cases hapa?
Humpi samaki unamfundisha kuvua samaki.unavyoonekana hujui kitu wewe, sheria yako uliyosoma na muda uliotumia ni bora ungefungua kibanda cha shoe shine walau ungekuwa hukosi 1000 kwa siku, mtu anaomba msaada wewe unamwambia kasome, sasa huo ni msaada au ni mzigo? na ndo madhara ya kukurupukia fani, LAW LAW yaani kilichopo kichwani mwako ni majina ya vitabu tu ila hata hujui vimeandikwa nini
We taaira kweli...sasa mm nampa njia rahisi ya kupata izo kesi ulitakaje hasa? Kama huyo jamaa ni lawyer ye ndo hajui kitu mana hata research hajui kufanya.unavyoonekana hujui kitu wewe, sheria yako uliyosoma na muda uliotumia ni bora ungefungua kibanda cha shoe shine walau ungekuwa hukosi 1000 kwa siku, mtu anaomba msaada wewe unamwambia kasome, sasa huo ni msaada au ni mzigo? na ndo madhara ya kukurupukia fani, LAW LAW yaani kilichopo kichwani mwako ni majina ya vitabu tu ila hata hujui vimeandikwa nini