Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
fafanua zaidi ndio utapewa majibu mazuri, hizo either of the two vehicles zilikatiwa bima, na bima za aina gani. utajibiwa kuhusiana na recovery ya gari yako, majeruhi, na marehemu (kwa wafiwa). kesi ni ya jamhuri lakini ukijibu maswali hayo utaelekezwa namna ya kupata haki yako nje ya jinai (ambayo najua lazima itakuwa dangerous driving na mtu ataenda ndani hapo).Wanasheria naomba ushauri wenu au maoni yenu kuhusu ajali ya gari.
Kuna rafiki yangu kaniomba ushauri kuhusu hatua za kufuata kufuatia ajali iliyosababisha mauti ya ndugu yao.
Kwa maelezo ya huyo ndugu, ajali ilitokea huko Dodom, basi iligonga krikuu(Suzuki Carry) kutokea nyuma iliyokua na watu kadhaa.
Mmoja akafariki na wengine kadhaa wako majeruhi.
Je sheria inasemaje kuhusu gari au deveva aliesababisha ajali.
Je sheria inasemaje kuhu majeruhi na fidia yao?
Je sheria inasemaje kuhusu marehemu.
Je ni nani anawajibika na kesi hizi, majeruhu na ndugu wa marehemu au ni kesi ya jamhuri?
Ahsante.
Huwa ni ndani au fidia pamoja na kufungiwa leseni.fafanua zaidi ndio utapewa majibu mazuri, hizo either of the two vehicles zilikatiwa bima, na bima za aina gani. utajibiwa kuhusiana na recovery ya gari yako, majeruhi, na marehemu (kwa wafiwa). kesi ni ya jamhuri lakini ukijibu maswali hayo utaelekezwa namna ya kupata haki yako nje ya jinai (ambayo najua lazima itakuwa dangerous driving na mtu ataenda ndani hapo).