Ndugu wana jf nilipoteza pesa katika account yangu ya benk ambayo pesa hiyo ilihamishwa kwenda kwenye namba ya simu ya mtu nisiyemfaham nilifuatilia namba hiyo mtuhumiwa nilimkamata na kumpeleka Polis kabla ya kufika juu zaidi familia waliomba tuyamalize pale polis kabla ya kufika juu zaidi tulikubaliana anilipe pesa na gharama alinilipa nusu lakini iliyobaki anadai hana hela nimeamua kumpeleka mahakaman ya mwanzo na tarehe 3/4 tunapambana mahakaman
Naomba ushauri wenu juu ya
1.nini inaweza kuwa maamuz ya mahakaman
2.maswar ya kisheria ya kumuuliza mtuhumiwa
3.NAOMBA USHAURI WAKO UNAOHISI NI MUHIMU.
Naomba ushauri wenu juu ya
1.nini inaweza kuwa maamuz ya mahakaman
2.maswar ya kisheria ya kumuuliza mtuhumiwa
3.NAOMBA USHAURI WAKO UNAOHISI NI MUHIMU.