Wanasheria nguli nauliza: Feleshi ana sifa za kuwa Justice of Appeal?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mwenye fununu za sifa za kuwa Judge wa Mahakama ya Rufaa anisaidie kujua kama Feleshi kama ana professional qualifications /anastahili au ni zawadi kutoka kwa mama.

Sijwahi ona HUKUMU ya Feleshi kutoka High Court of Tanzania katika tafiti zangu ( I MIGHT BE WRONG AND NOT INFORMED)

Anakwenda Court of Appeal kufanya nini?

Uchawa unalipa.
Kwa Tanzania, watu wengi sana wanaoteuliwa siyo kwa sababu wana sifa Bora za kiutendaji, bali ni kwa sababu amejikomba sana kwa Mamlaka za Uteuzi pamoja na kwa Mteuaji mwenyewe.

Kwa hakika tunahitaji Sana Katiba Mpya iliyo nzuri hapa Tanzania kwa Sasa ili kukomesha mambo ya hovyo kama haya.
 
Mbona ile wizara ya "Yuda Iskariot" haijaguswa 😡 , tulisubiri kushangilia sana hapa!
 
Feleshi alishakuwa Jaji In Charge wa Mahakama Kuu Iringa, ana hukumu nyingi tu
 
FATMA KARUME - KATIBA YA 1977 INAMLINDA MWENYEKITI WA CCM ALIYE RAIS NA WATEULE WAKE

Wakili msomi Fatma Karume apigilia msumari mfumo wa mwenyekiti wa CCM Taifa kuteua watendaji wote kwa kupitia katiba ya 1977 iliyotungwa kwa uchu wa CCM kupokonya madaraka kutoka kwa wananchi ..

Nondo za Fatma Karume Juu ya Utendaji wa Mahakama Dhidi ya Matamko ya Kisiasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=K4kVdwF9vrQ
  • Mwaka 1977 katiba iliyoundwa ina uchu wa madaraka ili chama dola kongwe CCM wabaki madarakani milele
  • Majaji walioteuliwa na Kikwete, Magufuli na Samia wamejaa ambao watabaki kuwa majaji kwa miaka 20 ijayo, athari mbaya za katiba ya 1977
 
Halafu eti Nyerere ni baba wa Taifa?
 
Back
Top Bottom