Uchawa unalipa.Mwenye fununu za sifa za kuwa Judge wa Mahakama ya Rufaa anisaidie kujua kama Feleshi kama ana professional qualifications /anastahili au ni zawadi kutoka kwa mama.
Sijwahi ona HUKUMU ya Feleshi kutoka High Court of Tanzania katika tafiti zangu ( I MIGHT BE WRONG AND NOT INFORMED)
Anakwenda Court of Appeal kufanya nini?
INTERVIEW: Feleshi’s appointment a demotion?
>Since President Jakaya Kikwete appointed former Director of Public Prosecution Eliezer Feleshi a judge of the High Court, debate has raged on whether or not the appointment was a demotion. In...www.thecitizen.co.tz
118 ya nini? katiba?Ukisoma ibara ya 118 anazo sifa.
Gharama kubwa kwa wananchiUnaambiwa teuzi za mama ni kuwaonyesha wazee wa ccm kwamba Yeye ni nani, hazina maana yoyote ile
Ndiyo ya katiba118 ya nini? katiba?
Sana! Hela zinapotezwa hovyo hovyo TU!Gharama kubwa kwa wananchi
Matumizi mabaya ya fedha za ummaSana! Hela zinapotezwa hovyo hovyo TU!
Huyu anatoa gawio kwa maza kama akina Aweso, Mbarawa, BasheMbona yule wa Wizara ya Fedha sijamsikia?.
Matumizi mabaya ya fedha za ummaUnaambiwa teuzi za mama ni kuwaonyesha wazee wa ccm kwamba Yeye ni nani, hazina maana yoyote ile
Halafu eti Nyerere ni baba wa Taifa?FATMA KARUME - KATIBA YA 1977 INAMLINDA MWENYEKITI WA CCM ALIYE RAIS NA WATEULE WAKE
Wakili msomi Fatma Karume apigilia msumari mfumo wa mwenyekiti wa CCM Taifa kuteua watendaji wote kwa kupitia katiba ya 1977 iliyotungwa kwa uchu wa CCM kupokonya madaraka kutoka kwa wananchi ..
Nondo za Fatma Karume Juu ya Utendaji wa Mahakama Dhidi ya Matamko ya Kisiasa
View: https://m.youtube.com/watch?v=K4kVdwF9vrQ
- Mwaka 1977 katiba iliyoundwa ina uchu wa madaraka ili chama dola kongwe CCM wabaki madarakani milele
- Majaji walioteuliwa na Kikwete, Magufuli na Samia wamejaa ambao watabaki kuwa majaji kwa miaka 20 ijayo, athari mbaya za katiba ya 1977