Wanasheria nisaidieni

Kumorgage ndio nini, tumia lugha moja.
 
Huu ni ulimbukeni wa lugha,mtu msoni na aliyeelimika na kustarabika hana huu upuuzi,chagua lugha moja kuwasilisha hoja yako,sio huu upuuzi
Kuna vitu vingine vya kisheria kuwasilisha kwa kiswahili inakuwa tabu sana,ndio maana unakuta tunaishia kuchanga lugha ili angalau ueleweke pamoja na kupata msaada
 
naomba kujua hivi ni mortgage zote zinakuwa registred?alafu ukiangalia scenario iliyotolewa ni ya transaction ya miaka zaidi ya 20 nyuma.
Ndio pitia sec 113 (4) ya land Act ime elezea hili .lakini kama haija sajiriwa still wana weza ku discharge right zao kama mkataba wa kawaida tu ila sio kama Morgage, means wata ingia kwenye issue za mkataba tu


Diclaimer
i stand to be corrected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…